BEITO: Tumekusogezea huduma za Usafi na Urembo kiganjani mwako

Pendezesha nyumba/Ofisi yako na BEITO
 
Pendezesha nyumba yako weekend hii kwa kutumia wahudumu wenye weledi kwa gharama nafuu kutoka BEITO. Karibuni sana ...
 
Safi! Hatuwezi fahamu baada ya mwaka mmoja BEITO ikawa brand na kampuni kubwa zaidi.

Safi nimependa commitment mliyonayo.
Tunashukuru sana kwa dua zako Mkuu. Nasi tunapokea maombi haya kwa moyo wote. Amen!
 
BEITO tumeongezea huduma ya FUMIGATION pia. Karibuni sana tuwahudumie..
 
Tunawakumbusha wateja wetu kuwa utoaji wa huduma bora ni kipaumbele chetu cha kwanza. Karibuni sana tuwahudumie.
 
Cleaning Materials and Equipments
 
BEITO tunaendelea kujipanua. Sasa tumekusogezea na huduma za upakaji rangi...

 
Karibuni sana wadau tuwahudumie.
 
Tunaendelea kuwakaribisha wateja wetu. Karibuni sana, tupo tayari kuwahudumia..
 
Tunawakaribisha wateja wetu, mjipatie huduma bora za Usafi wa Majumbani na Maofsin kwa uhakika. Wato huduma wetu tunawajengea uwezo wa kutoa huduma bora wakati wote. Kipaumbele chetu ni huduma bora kwa wateja wetu. Kila mwezi tunafanya performance essesment za watoa huduma wetu kwa kushirikiana na wateja ili kujua mapungufu na kuongeza ufanisi wa watoa huduma wetu.
 
Bei, vyumba 2?
Mkuu tunashukuru kwa kuonesha interests za kufanya kazi nasi. Je, unaweza kutupa nafasi tukaja kufanya survey na kujua mahitaji ya usafi kisha tupate urahisi wa kufanya makadirio ya bei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…