donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Umeona eeeh? Yaan anafaa sana.kusimama kama solo artist.kuliko kua ndani ya groupHuyu bwana Mdogo huwa aniangushi toka katoka Yamoto band naona tena kule alikuwa anachelewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
All the best kwake. Tunabaki na ma team tunaacha kusikiliza muziki mzuriNdio msanii ambaye yuko juu kwa sasa hawa wengine kukuzwa tu kila la kher beka
Sent using Jamii Forums mobile app
unawadhihaki wana temeke,na hao unawaita wabongo beka atasubiri sana kwa aslay.......hivi umesikiliza nyimbo za aslay zote alizotoa??
Aslay hana mziki mzuri wa kumfikia beka.unawadhihaki wana temeke,na hao unawaita wabongo beka atasubiri sana kwa aslay.......hivi umesikiliza nyimbo za aslay zote alizotoa??
Umesikiliza nyimbo ipi na ipi ya aslay ambayo sio nzuri..kwa taarifa yako tuu huku temeke akitoka mfalne nature,anafuata chege &temba anayefuata ni aslay huyo beka atasubiri maana hata Dula makabila kampiga chiniAslay hana mziki mzuri wa kumfikia beka.
BTW hayo ni maoni yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekiona mkuu sema color ya video sijaielewa kiviiileKuna Kitu Pusha alikichoma Dogo Aslay....kimesimama eroo...kama hujakishktukia ingia You tube unyonge!
Yes big up kwa wote mkuuHawa vijana naona wameamua ... Big up aslay Big up Beka
Sent From My Nokia Ya Tochi