Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD FATHER...TUFANI...DHIHAKA....MARRY MARIAM... na nyingine nyiingi..... napenda kushare na nyinyi hii najua wapo wengi waliowahi kuisoma ila wapo pia ambao bado... kama na wewe unasoft copy ya hadith yake yoyote tu share tujikumbushe kidogo