BEKI 3 aleta maafa

Hata kama ukitafuta beki 3 mwenye shepu mbaya aisaidii kitu maana hao wenye shepu mbaya ndio wanakuwa na tunda tamu zaidi,the wanajua kwenye 6 kwa 6 wafanye nini,unaweza kukuta mtoto anasura mbaya lakini mambo anayo kufanyia,ni vigumu kusimulia.
 

Siku zote Rose ushauri wako unaniacha hoi... Maana unavyochanganya vitu! Mara Aulizwe kinga kavaa... Mara tena wamuulize HG kama aliridhika au alilazimishwa... hapo si unataka kuleta balaa?
 

umeshasema hajui...lakini hili kalijua, mie ningekuwa na house gal cku ya kwanza angekanyaga kwenye nyumba yangu ningempa muelekezo sahihi taratibu za nyumba na maelekezo ya yeye kwenda kinyume na makubaliano yetu ajue itam cost yeye kama yeye, mfano ni kwamba kama ingetokea akatembea na mr wangu wangu bac nikijua awe/asiwe na mimba safari itamuhusu...watahudumiana wenyewe mbele kwa mbele...dharau kubwa hii...wake wenza ndani ya nyumba yangu?
 

kwangu kama kabakwa hiyo ni case nyingine, lakini kama walikubaliana wenyewe bac ajue mr wangu nitaendelea nae yeye namfungasha kama ifuatavyo, hakuja kwangu kuvua chupi bali kufanya kazi zinazomuhusu kwa malipo halali.
 
avae kinga kwa adigidigi cha upepo? we umeambiwa mtu kaja na kanga moja kufungua mlango ungoje tena mwamvuli? ukizingatia nne zishakaa kichwani muda huo pombe inashapita kitovuni zinaelekea bondeni!!! patachimbika!!! weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:whoo:
 

Hahaaaaaaaaaa bao moja 500 kazi kwelikweli. Hata hivyo Deodat hakubakwa huyu mzee altaka kula mahindi mabichi wakakubaliana. Niongeavyo na wewe jamaa kaenda kufuata mtoto. kanambia mama anasubiria nec watangaze viti maalumu tu maana anajua kuwa atakuwemo tu mjengoni. Sasa hataki ajipatie presha ya kutafuta huduma.
 
namwonea huruma mama mwenye nyumba..
pole sana
 
kwangu kama kabakwa hiyo ni case nyingine, lakini kama walikubaliana wenyewe bac ajue mr wangu nitaendelea nae yeye namfungasha kama ifuatavyo, hakuja kwangu kuvua chupi bali kufanya kazi zinazomuhusu kwa malipo halali.
Sasa Nyamayao ndo hivo jamaa kaamua kumfuata toto huko na akubaliane ni vipi atamuudumia maana kila kukicha mama na siasa tu! Hivi akienda bungeni jamaa atapata wapi huduma nyeti?
 
Mama alikuwa kwenye kampeni kwa kipindi kirefu hivyo mzee akawa anarudi home mwenyewe kila siku.

Jamaa akamalizia SASA WAZEE WANGU HUYU BINTI AKUVALIE KANGA MOJA AKUFUNGULIE MLANGO USIKU NA WEWE UNAHITAJI HUDUMA YA MAMA NA HAYUKO UNAFANYAJE?

Haya ndiyo majeraha ya kampeni tuliyoambiwa?
 
mie ningemfukuza huyo beki tatu kwa kipigo!:redfaces:
huyo mume pia ningemtimua,ndoa imekufa hapo kila mtu ashike hamsini zake...
manake ukileta housegirl mwingine una uhakika gani hatamtafuna na huyo...

mawanaume ya hivi yote yafe!:redfaces::bump:
 
uzinzi wake tu, kwani mkewe huko kwenye kampeni alikua hapati hamu? mbona alijizuia? basi na yeye aambiwe kampeni meneja kanipa kitu nimedata wazee wamruhusu awe nae. yaani nimekasirika ghafla baada ya kusoma hii, acha niende nitarudi:shock::A S cry::sad:
 
Mara nyingi wake huwapigia mapande waume zao bila wenyewe kugundua. Hili tukio limesababishwa na mama mwenye nyumba mwenyewe.
 
Mara nyingi wake huwapigia mapande waume zao bila wenyewe kugundua. Hili tukio limesababishwa na mama mwenye nyumba mwenyewe.

Heh! Yani mume aporwe na lawama abebeshwe,usimfanyie hivyo bwana. Naamini hizo shughuli za kisiasa walijadiliana na baba akazibariki kabla mama hajaenda. Hata huyo hg atamsaliti tu siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…