Beki simba avunjika mkono

Beki simba avunjika mkono

cnjona

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
1,027
Reaction score
239
Beki Emiry Nimubona
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia wa Burundi,
leo alifanya mazoezi na
wenzake, lakini baadaye
akaanza kusikia maumivu
makali na kulazimika
kupelekwa hospitali.
“Kweli alisikia maumivu
makali, akapelekwa
hospitali wakagundua
kwamba alivunjika mfupa
ambao unakwenda
kwenye kidole.
“Aliwahi kuvunji hiyo
sehemu, huenda hakujua
safari hii kwamba
maumivu yake ni tatizo
hilo. Baada ya kufika
hospitali wakagundua
kuwa ni tatizo hilo,”
kilieleza chanzo.
Kuhusiana na taarifa
hivyo, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba,
Haji Manara amethibitisha
na kusema tayari
amepokea taarifa hizo.
"Kweli amewekewa POP,
sasa atakuwa nje kwa
mwezi mzima," alisema.
 
Beki Emiry Nimubona
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia wa Burundi,
leo alifanya mazoezi na
wenzake, lakini baadaye
akaanza kusikia maumivu
makali na kulazimika
kupelekwa hospitali.
“Kweli alisikia maumivu
makali, akapelekwa
hospitali wakagundua
kwamba alivunjika mfupa
ambao unakwenda
kwenye kidole.
“Aliwahi kuvunji hiyo
sehemu, huenda hakujua
safari hii kwamba
maumivu yake ni tatizo
hilo. Baada ya kufika
hospitali wakagundua
kuwa ni tatizo hilo,”
kilieleza chanzo.
Kuhusiana na taarifa
hivyo, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba,
Haji Manara amethibitisha
na kusema tayari
amepokea taarifa hizo.
"Kweli amewekewa POP,
sasa atakuwa nje kwa
mwezi mzima," alisema.

Pole Nimuboma, get well soon urejee dimbani mikia wakose sababu za kuvurunda kwao kwenye Premier League.
 
Pole Nimuboma, get well soon urejee dimbani mikia wakose sababu za kuvurunda kwao kwenye Premier League.

Mkuu tangu ligi imeanza, Beki Kisiki/ Beki wa anayepanda na kushuka atakavyo/ Hassan Kessy ameimiliki nafasi anayocheza Emiry "kadogoo" Nimubhona ipasavyo.. Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Emiry hajacheza zaidi ya Dk. 45 tangu VPL ianze.
Hivyo hili si pengo kubwaa sana katika kikosi cha maangamizi.
Get well soon Emiry "kadogoo" Nimubhona.
 
apone haraka maana hakuna mbadala wa kesy akiumia...mtapata kisingizio
 
apone haraka maana hakuna mbadala wa kesy akiumia...mtapata kisingizio

Mkuu Justice Majabvi.. Si kiumbe wakawaida.. Ikitokea Kessy kaumia[japo Mungu aepushe], ndo utaelewa nachomaanisha.
 
Beki Emiry Nimubona
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia wa Burundi,
leo alifanya mazoezi na
wenzake, lakini baadaye
akaanza kusikia maumivu
makali na kulazimika
kupelekwa hospitali.
"Kweli alisikia maumivu
makali, akapelekwa
hospitali wakagundua
kwamba alivunjika mfupa
ambao unakwenda
kwenye kidole.
"Aliwahi kuvunji hiyo
sehemu, huenda hakujua
safari hii kwamba
maumivu yake ni tatizo
hilo. Baada ya kufika
hospitali wakagundua
kuwa ni tatizo hilo,"
kilieleza chanzo.
Kuhusiana na taarifa
hivyo, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba,
Haji Manara amethibitisha
na kusema tayari
amepokea taarifa hizo.
"Kweli amewekewa POP,
sasa atakuwa nje kwa
mwezi mzima," alisema.

Naona Vijana wangu akina Kessy na Tshabalala wameshaanza Miba kwa dogo. Polepole jamani dogo atakimbia sasa hivi. Pigeni Miba kidogo tu jamani.
 
Nashukuru kavunjika baada ya kuchezea kipondo toka kwa mabingwa...maana hiyo ingekuwa sabb....anyway get well soo mchezaji wa simba
 
Nashukuru kavunjika baada ya kuchezea kipondo toka kwa mabingwa...maana hiyo ingekuwa sabb....anyway get well soo mchezaji wa simba

Mkuu ingekua sababu vipi.. Wakati Kessy, amesababisha Emiry ajenge urafiki wa kudumu na benchi.
 
Na ni bahati mbaya sana kwa Simba ambayo inatarajiwa kuikabili Mbeya City bila Hassan Kessy mwenye kadi 3 za njano. Dogo angeziba nafasi hii vizuri
 
Na ni bahati mbaya sana kwa Simba ambayo inatarajiwa kuikabili Mbeya City bila Hassan Kessy mwenye kadi 3 za njano. Dogo angeziba nafasi hii vizuri

hee!... kumbe kesy ana kadi 3 za njano!!! tayari kisingizio kimepatikana.
 
Mkuu tangu ligi imeanza, Beki Kisiki/ Beki wa anayepanda na kushuka atakavyo/ Hassan Kessy ameimiliki nafasi anayocheza Emiry "kadogoo" Nimubhona ipasavyo.. Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Emiry hajacheza zaidi ya Dk. 45 tangu VPL ianze.
Hivyo hili si pengo kubwaa sana katika kikosi cha maangamizi.
Get well soon Emiry "kadogoo" Nimubhona.

So, is Nimubhona another Papa Niang of M_Simba-zi?
 
So, is Nimubhona another Papa Niang of M_Simba-zi?

Hapana Mkuu... Kama ni gari, Emiry Nimubhona ni New Model ya Vincent Bossou [Old Version].

Old Version linatumia mafuta mengi sana kwa mwezi [3000 USD].. halafu ufanisi wake ni mdogo saana kama si mbovu kabisa pale linapoingia barabarani na ndo mana tangu linunuliwe halijawahi kuingizwa barabarani.. sababu ni kua aliyelinunua anahofia jirani yake akiliona atamcheka sana.

New Model halitumii mafuta sana kwa mwezi [1000 USD] tu.. ufanisi wake hatuutilii shaka hata kidogo, mana kuna siku tulilitest barabarani, na majibu tuliyopata kila mtu aliridhika nayo.
Swali; Kama ufanisi wake hamuutilii shaka, kwanini msiwe mnalitumia mara kwa mara?
Jibu;Magari tunayo mengi sana na bora katika yard yetu.. Mda ukifika nalo hili tutaanza kulitumia.
 
Nimegundua yanga si wachongaji sana kama simba, naona sisikii tena tambo za kumfunga mnyama wakati pambani lilikuwa juzi juzi tu hapa.
Hii maana yake ni kwamba wanaona kawaida tu au?
 
Nimegundua yanga si wachongaji sana kama simba, naona sisikii tena tambo za kumfunga mnyama wakati pambani lilikuwa juzi juzi tu hapa.
Hii maana yake ni kwamba wanaona kawaida tu au?

ushindi ni utamaduni wetu hayo matokeo mengine ni kwa dharula
 
Back
Top Bottom