cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
Beki Emiry Nimubona
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia wa Burundi,
leo alifanya mazoezi na
wenzake, lakini baadaye
akaanza kusikia maumivu
makali na kulazimika
kupelekwa hospitali.
Kweli alisikia maumivu
makali, akapelekwa
hospitali wakagundua
kwamba alivunjika mfupa
ambao unakwenda
kwenye kidole.
Aliwahi kuvunji hiyo
sehemu, huenda hakujua
safari hii kwamba
maumivu yake ni tatizo
hilo. Baada ya kufika
hospitali wakagundua
kuwa ni tatizo hilo,
kilieleza chanzo.
Kuhusiana na taarifa
hivyo, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba,
Haji Manara amethibitisha
na kusema tayari
amepokea taarifa hizo.
"Kweli amewekewa POP,
sasa atakuwa nje kwa
mwezi mzima," alisema.
atakuwa nje ya kikosi
chake cha Simba kwa wiki
nne.
Nimubona amevunjika
mmoja wa mfupa mdogo
wa mkono wake na sasa
amefungwa bandeji
ngumu maarufu POP.
Beki huyo raia wa Burundi,
leo alifanya mazoezi na
wenzake, lakini baadaye
akaanza kusikia maumivu
makali na kulazimika
kupelekwa hospitali.
Kweli alisikia maumivu
makali, akapelekwa
hospitali wakagundua
kwamba alivunjika mfupa
ambao unakwenda
kwenye kidole.
Aliwahi kuvunji hiyo
sehemu, huenda hakujua
safari hii kwamba
maumivu yake ni tatizo
hilo. Baada ya kufika
hospitali wakagundua
kuwa ni tatizo hilo,
kilieleza chanzo.
Kuhusiana na taarifa
hivyo, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba,
Haji Manara amethibitisha
na kusema tayari
amepokea taarifa hizo.
"Kweli amewekewa POP,
sasa atakuwa nje kwa
mwezi mzima," alisema.