BEKI TAKI YA YANGA

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
294
Reaction score
211
DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA
House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara:
DADA: Ninaweza kupika zaid yako.
MAMA: nani kakwambia?
DADA: kaniambia mume wako.
MAMA: sababu ya pili?
DADA: Ninapiga pasi nguo zinanyooka vizuri kuliko wewe.
MAMA: Nani kakwambia?
DADA: Mume wako.
MAMA: Sababu ya tatu?
DADA: Nakuzidi kwa utundu kitandani.
MAMA (akiwa na jazba la kumpasua): Niambie mume wangu ndo kakwambia au?
DADA: Hapana, ni dereva wako ndo aliniambia nimekuzidi kwa utundu kitandani.
MAMA: ooooh punguza sauti mwanangu nakuongezea mshahara wako tena mara mbili.
Kumbe mama naeeee jipuuuuuuuu hahahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…