marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Cheki video mkuu utaelewa dem hajabakwaMkuu mbona issue ni jamaa kutembea na binti mdogo kwa kumbaka sio hiyo ya kurecord video.... so kesi yake ni kubaka
ipo wapCheki video mkuu utaelewa dem hajabakwa
Usiombe mzungu apate sababu ndogo sana alafu ww uwe mweusi, yaani kama umefanya moja unaweza ukabiwa umefanya 11 na ni hatari kwenye jamii na adhabu nyengine zikafuataMkuu mbona issue ni jamaa kutembea na binti mdogo kwa kumbaka sio hiyo ya kurecord video.... so kesi yake ni kubaka
Mkuu mchuma janga hula na wa kwao .....kuwa professional kunachangamoto sana, kwa maana inabidi uishi kwa umakini sana .....Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Kwani huyu Mendy kapigwa miaka mingapi jelaMkuu mchuma janga hula na wa kwao .....kuwa professional kunachangamoto sana, kwa maana inabidi uishi kwa umakini sana .....
Picha ya Mendy uingereza na ulaya kiujumla, ipo pinned kama mbakaji....hamna club itakayo msajili bila kupitia shida ya kukimbiwa na mashabiki (kwasababu wataona wamemsajili mbakaji)
Ila nafikiri hii kesi binti na familia yake walitaka kuitumia kwa maslahi kama madai ili mendy awalipe na wala hawakutaka kufika huku ila sheria imefuata mkondo wake...
Adam johnson yalimkuta haya akapotea mazima kwenye soka...
Kama hajafikia umri wa consent inamaanisha amebakwa maana Hajafikisha umri sahihi wa kufanya maamuzi....wewe ukikutwa Na katoto ka miaka3 hatakama kanafuraia mic unakabaka.Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Kesi bado haijatolewa hukumu mkuu ila alinyimwa dhamana baada ya taarifa za kesi kuwa na mantiki.....so hizi video kuvuja zinamaanisha nikweli ni yeye ndie mhusika......Kwani huyu Mendy kapigwa miaka mingapi jela
Hili suala mm nahofia litachukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia especially now mzozo baina ya UK na UfaransaKesi bado haijatolewa hukumu mkuu ila alinyimwa dhamana baada ya taarifa za kesi kuwa na mantiki.....so hizi video kuvuja zinamaanisha nikweli ni yeye ndie mhusika......
Lakini hatafungwa miaka mingi, nafikiri, sema ameharibu jina lake katika tasnia ya soka
Ni kweli mkuu....jamaa anawakati mgumu sana....Hili suala mm nahofia litachukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia especially now mzozo baina ya UK na Ufaransa
Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli
Cheki video mkuu utaelewa dem hajabakwa
Hili suala mm nahofia litachukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia especially now mzozo baina ya UK na Ufaransa
Sijaiona ila kuna kitu kinaitwa "statutory rape" yaani ukimtongoza benti ambaye ni under 18, hata akikubali bado inakuwa ni kubaka, hata huku Tz wengi wamefungwa kwa hii.Hio link nimeisoma but wazungu wanasema kambaka, haionyeshi akimbaka inaonyoshe dem anafurahia kwa kuishika mic ya huyo mshkaji huku anacheka, wanafanya mapenzi, kama kafungwa kwa ajili ya mwanamke ana miaka 18 na sheria ya nchi zinasema hivyo hapo sawa ila kama kafungwa kwa sababu wanasema kabaka hio sio kweli