Beki wa Salford city Mtanzania HAJI MNOGA kuanza leo kwenye mechi dhidi ya Manchester city

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA.

Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku.

Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza dhidi ya vigogo Manchester City baada ya mbwana samatta.

Timu ya Salford city ipo nafasi ya 4 katika league two ya uingereza..
(Mnaobet mtakuwa mnaijua)

Haji ana nafasi ya kudumu kwny club yake..anavaa jezi namba 19.

Naomba tumfatilie mbongo mwenzetu mechi itakuwa live.

Kwa wasiomjua huyu mchezaji,
Ni kwamba alikuwa sehemu ya kikosi cha Tanzania kule afcon ivory coast.
 
Scholes, Gary Neville, Phil Neville, Ryan Giggs, Beckham wote wana share 49%

Timu ipo jiji la Manchester
 
Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA.

Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku.

Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza dhidi ya vigogo Manchester City baada ya mbwana samatta.

Timu ya Salford city ipo nafasi ya 4 katika league two ya uingereza..
(Mnaobet mtakuwa mnaijua)

Haji ana nafasi ya kudumu kwny club yake..anavaa jezi namba 19.

Naomba tumfatilie mbongo mwenzetu mechi itakuwa live.

Kwa wasiomjua huyu mchezaji,
Ni kwamba alikuwa sehemu ya kikosi cha Tanzania kule afcon ivory coast.
Ajitahidi ili akupunguzie kumuelezea sana
 
Back
Top Bottom