Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kumbe dumbia sawa na sawakubwa tuItakuwa jambo la heri kama Doumbia atapewa mkono wa kwa heri. Maana ni ukweli ulio wazi, anakabia macho na hana kasi.
Wazee wa mizoga wameokota zoga lingineBeki Kisiki Gift Fred kutoka Villa ya Uganda atua kwa Mabingwa wa nchi na wenye Historia yao Yanga. Hii inawafanya wazidi kuujenga ukuta wa Berlin wakati majirani wao wakiujenga ule wa Jeriko.
Ligi Kuu ya NBC msimu ujao inakwenda kunoga sana hebu fikiria kwa kina hapa YANGA kule AZAM na pembeni SIMBA unafikiri nani atakuwa mwiba mchungu?
View attachment 2685097