Unsub
Senior Member
- May 4, 2018
- 113
- 113
Salaam Jamii Forumians.
Naamini kila binadamu hufikiri kwa wakati wake na kwa namna yake. Lakini wengi tufikiria tunapokua wenyewe (alone). Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi cha kukosa usingizi wakianza kufikiri. Mimi ni mmoja wapo. Na ndio maana when i go to bed its either nitumie simu (browsing, chatting etc) au niwe nasoma kitabu ndio nikichoka na usingizi hunikuta. Na endapo nitapanda kitandani bila ya simu au kitabu basi nitawaza mpaka kufikia kichwa kuuma lakini usingizi sipati unless of course niwe na dawa ya usingizi ya "Dr Remmy". Nikipata vidonge viwili basi patalalika. Usiku wa kuamkia leo baada ya kuamka usingizini na kujikuta nimepitisha ten minutes kabla ya kurudi bedroom, mawazo yakaanza. Nikajikuta katika kuwaza nikaiwazia dunia yetu na vilivyomo. Hapo ndipo nikapata swali lililokosa jibu na kuamua kuandaa hii thread kwa notebook kisha kuifikisha jukwaani mchana huu.
1. Kuna viumbe wengine tunaofanana kitabia katika dunia hii?
Hili jibu nilipata upande mmoja na kwa kua upande wa pili sijaona andiko nasubiri. Quran 51:56 imethibitisha wapo.
2. Kama wapo na hizo tabia tunazoelezewa. Wanatumia technology kama sisi? Kama ndio, humu JF inawezekana member wengine wa upande huo?
***************************
Haya ni baadhi ya mawazo tu hasa nikiwa peke yangu. Sijui wenzangu mnawazaga hivyo?
NB: Kama inastahili uhamishwa jukwaa sawa tu.