Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Huyu jamaa ukisikiliza mistari yake zinatia moyo huwa anazungumzia sana maisha,,......naona kama anamfunika hata Stamina.
Au nakosea?
Ningekuwa na uwezo,ningeufanya mziki wa DARASA, NIKKI MBISHI na JAMBO SQUAD uwe ktk level za juu.
Kweli na Uno Incredible. Na mziki wa kuchangamka ni Pa-One.muongeze one the incredible hapo kaka,jamaa wakali lkn huwa naskitka jamaa hawatoboi na kucapture audience kubwa!