Believe me Darasa anajua.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298


Huyu jamaa ukisikiliza mistari yake zinatia moyo huwa anazungumzia sana maisha,,......naona kama anamfunika hata Stamina.
Au nakosea?
 
mh kweli hapo nimegonganishiwa magari me nawakubali wote amini usiamini they are one of ma favourites MC
 
mh kweli hapo nimegonganishiwa magari me nawakubali wote amini usiamini they are one of ma favourites MC
Ila Stamina nahau zake mpaka zinaboa,Darasa ye anatumia simple words but anatisha
 


Huyu jamaa ukisikiliza mistari yake zinatia moyo huwa anazungumzia sana maisha,,......naona kama anamfunika hata Stamina.
Au nakosea?

darasa anajua nini anafanya kiukweli huwa napata moyo nikisikiliza ngoma zake anazungumzia maisha ya mtaa!
 
darasa anajua nini anafanya kiukweli huwa napata moyo nikisikiliza ngoma zake anazungumzia maisha ya mtaa!
ukisikiliza sana mistari yake ni about real streat life halafu si mambo ya starehe
 
Jamaa anajua sana.
rapper gani ana-rap chumbani,
ukimwamini mtu umefanya mistake

maisha ni safari ajali zinatokea
kuishi ni kamari sla* dog milionea
 
Dunia sinia pakua unachoweza........

Nisipotoka maisha yananitokea......

Aisee jamaa mkalee...
 
Yah ngoma zake uwa zinanipa moyo wa ku move on.

Sometimes tunaishi nje ya malengo tuliojiwekea....
........
 
Ningekuwa na uwezo,ningeufanya mziki wa DARASA, NIKKI MBISHI na JAMBO SQUAD uwe ktk level za juu.
 
Ningekuwa na uwezo,ningeufanya mziki wa DARASA, NIKKI MBISHI na JAMBO SQUAD uwe ktk level za juu.

muongeze one the incredible hapo kaka,jamaa wakali lkn huwa naskitka jamaa hawatoboi na kucapture audience kubwa!
 
##unakuta umepewe jeze wakat mxhezo hujauelewaaa....
#unaweza kuzaliwa nyanda na ukachezeshwa beki..
..respect kwa darasa
 
Mwili kama una vidonda
ukinigusa tu naumia
kichwani mizigo ya dhambi gunia kwa maguni
Dunia sinia pakua unachoweza
rudisha kwenye njia
walimwengu washanipoteza
mpaka leo mwanangu yuko magereza
mtoto wa jirani anasomeshwa uingereza
baba yake na athumani alikufa mvuvi wa pweza
tajiri wa imani masikini wa kifedha
washanichimbia kaburi
wanizike nahema
washakata miti ya kivuli
mifereji ya lema
unaeza kuta unayemwamini ndiye anayekuwekea sumu
hawana alama binadamu
anayekuja kukuhukumu
mwili umechoka naforce tu kuendelea
mpaka naogopa
wapi naenda kutokea
hata nikiokoka
nani ataniletea
nisipotoka
maisha yananitokea

No body see me cry
oooh lalooh
No body by maslahi
Mungu nishike mkono
unajikuta upo peke yako
giza kubwa kwenye mtaa
huoni ndugu wala jamaa
uliokuwa nao jana baa
mawazo ya karaha
nafsi inakosa raha
upepo mkali na baridi bila koti la kuvaa
nauliza mungu where you are?
Nionyeshe njia
kelele za uchungu
na hakuna anayekusikia
usitamani kiatu changu
ukikivaa hautembei
ikiwa ni siku mbaya
ndio masaa hayasogei


unaonaje maisha ya mtoto bila mzazi wa kumlea,
niambie ndoto za wangapi mitaani zimepotea
imagine mzazi wa lulu maumivu aliyojibebea
sometime tunaishi nje ya malengo tuliyojiwekea
kifuani kama kuna moto
moyo wangu unaungua
maumivu ninayohisi usitamani kuyajua
nashindwa kupiga hatua
woga nasusua
maji yakiwa shingoni
ndio nakumbukaga dua
nashindwa kuchagua kati ya mvua na jua
kuna kitu kinamiss
nawaza kukigundua
natamani kuwa mtoto
kibaya haiwezi kuwa
vazi la dhambi nililovaa
halitakati hata nikifua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…