C/O Mwenyekiti wa E.KMpendwa Belinda,
Shule ya Msingi Mtakuja
S.L.P 76
Makelenge Stendi
Kwanza salamu,ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kutaka kukuuliza swali moja tu linaloniumiza nafsi yangu, mpaka nashindwa kula wala kulala, nikinywa maji najiona kwenye glasi! Hivi hiyo midomo (lipsi) uliyotumia kama avatar yako inachuruzika vitu gani vile?
Asante sana, salamu kwa mjomba, Kaka na Bi Mkubwa.
Wasalaam,
Amoeba

View attachment 12781
Huh!!! Amoeba, ni king'arisho cha lips (lipgloss+lipstick) ila hiyo ilizidi wingi ndio mana kama inatiririka mkuu!! si umewahi kuona wadada wanapaka?ila siyo yakudondoka hivi, zingine zinang'aa au kukolea kwenye lips kwa rangi mbali mbali kutegemeana na lips zao!!..kama hujanisoma vizuri nitakuPM nikuelekeze jinsi ya kupaka au kumpaka mamii wakoπha ha
Hiyo barua mimi hoi,nakumbuka enzi zile 'mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka juu yako/yenu'..
Wasalimie Makelenge Stendi..
Daima,BJ!!

ebu tuanze na miye huko PM, Amoeba atakuwa ana do ze nidiful kwenye miili ya watu sasa:becky:
Huh!!! Amoeba, ni king'arisho cha lips (lipgloss+lipstick) ila hiyo ilizidi wingi ndio mana kama inatiririka mkuu!! si umewahi kuona wadada wanapaka?ila siyo yakudondoka hivi, zingine zinang'aa au kukolea kwenye lips kwa rangi mbali mbali kutegemeana na lips zao!!..kama hujanisoma vizuri nitakuPM nikuelekeze jinsi ya kupaka au kumpaka mamii wakoπha ha
Hiyo barua mimi hoi,nakumbuka enzi zile 'mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka juu yako/yenu'..
Wasalimie Makelenge Stendi..
Daima,BJ!!
Thanks the real Brainiac for this thread..
at least nimepata smile baada ya fululu-fululu za siasa mbovu za nchi yetu!!! those lips are whack!!! You have reminded me enzi za kuandika barua kwenye decorated and perfumed writing pads
good ol' days