Belle 9 ajibu mapigo ya Darasa na Diamond kwa kishindo

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.

Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili.

Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu.

Waliokuwa wanasema Belle 9 ana gundu hapa amewakata kauli na kudhiirisha muziki sio umahiri pekee na timing + kuielewa biashara hii.

NB; wimbo huu umetengenezwa kabla ya Salome na Muziki.

kwani salome inashindana na music.Labda kokoro ambayo imeshaachwa mbali
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kumbe hiyo Salome nayo ni moja ya nyimbo nzuri zilizopendwa kama nyimbo ya Darassa!

Sikua nikijua hilo.
 
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.

Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili.

Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu.

Waliokuwa wanasema Belle 9 ana gundu hapa amewakata kauli na kudhiirisha muziki sio umahiri pekee na timing + kuielewa biashara hii.

NB; wimbo huu umetengenezwa kabla ya Salome na Muziki.

ujinga mtupu
 
Mbona naona kama saida kaloli analazimishwa kurudi kwenye game vile. Diamond na darasa wamechukua mistari yake direct. Huku nako dogo nae kaingiza kinamna vionjo vya saida.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom