Ni mgongano wa idea mkuu, hakuna aliyemuiga mwenzie. Hivi unajua muziki ya Darasa ilibidi waitoe sauti ya Saida ili kuitofautisha na Salome japo wakati wanarekodi Salome ilikuwa aijawai kurekodiwa!Mmmmhhh!Mleta mada naona una maslahi binafsi na Abednego,Unadai ye ndo alianza kurekod tutajuaje mbona hakuitoa??Kifupi ni copy na kupaste beat ya darasa kabisa hii mpaka baadhi ya maneno.Sijui ni ufinyu wa mawazo au ndo kulazimisha game,Kifupi hakuna ubunifu wowote hapo.Diamond tayari kashatumia vionjo vya salome ya Saida kwanini nayeye Belle 9 atumie kama sio kukosa ubunifu ni nini?So anataka kutuambia Darasa na Diamond ndo wamemuibia ideas mpaka beat?
Kifupi namlaumu Belle 9 na manejiment yake kwa ujumla kwanini waruhusu huu wimbo utoke wakati ni dhahiri shahirikacopy?
Huh! kumbe na akili huwa zinawaruka kabisa wakisikia hiyo nyimbo? Mi yote hayo nilikua siyajui.Watu mkisikia wimbo wa mond umetajwa huwa mnarukwa akili kabisa
I doubt that bro beat mpaka maneno iwe coincidence?Ya Darassa sina neno,ishu ipo kwa Belle 9 hata kama ilikua mgongano wa mawazo bora angekausha tu coz tayar nyimbo yenye beat na maneno yaliyopo kwenyewimbo waketayari yashatumika yeye ndo anaonekana kawaiga Darassa na DiamondNi mgongano wa idea mkuu, hakuna aliyemuiga mwenzie. Hivi unajua muziki ya Darasa ilibidi waitoe sauti ya Saida ili kuitofautisha na Salome japo wakati wanarekodi Salome ilikuwa aijawai kurekodiwa!
mkuu kosa hufanyika mara moja, likirudiwa hilo haliwi kosa..... hawa vijana hawana uwezo (sio wa kuimba), so hapo walipofikia sio kwamba wanakosea ila uwezo wao ndio unastahili hapo... kwanini wafike level za mbali hali ya kuwa hawana uwezo?Natamani wasanii hawa wafike levo ya diamond Jux,bele 9 na Ben pol. Hawa wasanii wazuri sana sema sijui wanakosea wapi.
Hii nyimbo sio nzuri wala nn!Masikio yangu yatakuwa hayana uwezo wa kutambua mziki mzuri kama hii ngoma ni kali.
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.
Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili.
Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu.
Waliokuwa wanasema Belle 9 ana gundu hapa amewakata kauli na kudhiirisha muziki sio umahiri pekee na timing + kuielewa biashara hii.
NB; wimbo huu umetengenezwa kabla ya Salome na Muziki.
Hivi kwa nini kuigana tu.... Its shame!Iko vzuri....kuna melody za mziki wa darssa na salome