Belle 9 ajibu mapigo ya Darasa na Diamond kwa kishindo

Muziki ya DARASA imebamba sana,kwa sasa hakuna wimbo unapendwa kama huo,beats zake ni babakubwa
 
Diamond kafanya mapinduzi makubwa sana kwenye muziki wa kizazi kimpya, yaani amekuwa kama SI unit ya muziki huo, maana kila msanii lazima amkopi, au amtaje au atafute "beef" nae ili aweze kuuza kazi yake
Kama hajatajwa dhahiri basi hata nickname zake nyingine "Sio simba sio chui sio Mamba....Hakuna namna unaweza kutaja mafanikio ya muziki wa bongofleva bila ya Diamond...Huna haja ya kuwa na team ili kujua hili.
 
bado sijaiskia.....ila nahisi itakuwa tam kikawaida tu
 
Ubunifu kwa msanii ni kitu kinaweza kumfanya awe talented lakini sio kwa kuiga iga melody inamfanya mwanamzki azidi kushuka kiwango hii nyimbo mbaya kama mbaya zingine
 

Unaujua mziki kweli sijui anakosea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…