Belle 9, Masogange maana yake nini?

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
103
Huyu kijana katoa huu wimbo, ni mzuri sana ila nashindwa kuelewa maana ya Masogange. Mwenye kufahamu naomba msaada!

 
Mkuu Masogange maana yake ni macho yangu but sijui ni lugha gani hii labda nikamuulize tena mwenyewe ataniambia
 
HUwa sipendi wa Bongo wakiimba Kiganda kwa kuona kama wanajoipandisha chati, huu mwimbo sijaupenda sababu ya Kiganda humo ndani. Nyimbo niliyo ipenda ya huyu dogo ni inaitwa "Sumu ya Penzi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…