Belle 9: Singeli hapana

Belle 9: Singeli hapana

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Apo chacha!!

Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli.
Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita
na katu hauwezi kudumu.
Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa
kipindi cha Supa Mega cha Kings FM, Prince Ramalove
iwapo atafanya muziki huo mashabiki wakimtaka.
“Sitegemei,” alisema Belle.
“Hata kama nitafanya, sitofanya kama release song sababu
Singeli ni muziki fulani hivi ambao unapita, ni bubble gum
music. Sasa hivi watu wanaushabikia lakini itafika time
utapita, sio muziki wa kustick.”
 
Asante belle9 maana manfongo alisema kuwa mjipange nyie wa bongo flava eti soko la.muzik watalikamatia waimba visingel
 
Fiesta itakapofika tamati mwaka huu jijini dsm , singeli nayo itakuwa mara ya mwisho kupewa promo na huo ndio utakuwa mwisho wake
 
Si sahihi kusema hivyo. Hata hizo nyimbo zao ziliibuka hivyo hivyo tu
 
Back
Top Bottom