Belle9 sio wa nchi hii, hakuna kama yeye bongo

Belle 9 tangu aanze kuwa karibu na G nako amekuwa anaimba pumba tu.

Huyu belle mkali ni wa amerudi kurudi nyuma ila alipo sina hata la kumtetea inafika wakati eti ben pol kawa king wa rnb
 
Namkubali belle wa
Amerudi!
Masogange!
Vitamini music
Hiyo maole ahsante kwa sasa situmii
 
Toka atoe Sumu ya penzi hii ndio ngoma tamu zaidi kutoka kwa Belle 9....Kama kawaida G.Nako ukimpa collabo hakuachi salama lazima afanye wonders.

Ila ile ya Tox Star kulalamika kuwa Belle kamuibia beat na Chorus ni kweli?!
 
Belle is good. . I like him, japo ana nyota ya mkaa unaoweka majivu
 
Toka atoe Sumu ya penzi hii ndio ngoma tamu zaidi kutoka kwa Belle 9....Kama kawaida G.Nako ukimpa collabo hakuachi salama lazima afanye wonders.

Ila ile ya Tox Star kulalamika kuwa Belle kamuibia beat na Chorus ni kweli?!

Ali kiba bado anaimba au tumetegemee kwenye soka ligi kuu msimu mpya ?
 
Bila kuweka huo wimbo habari hii inakua batili kama mkataba wa mchanga.
 
Serikali inajua kupitia uhamiaji kwamba huyo belle9 sio wa nchi hii ni mkimbizi???
 
Naona unajifunza kufanya online marketing..keep up..well done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…