Bellon D'Or nani kushinda?

Bellon D'Or nani kushinda?

kama upo tanzania na una dstv cheki SS3
 
ronaldo anasoma nani mshindi..
 
Coach of the yr ni Coach wa BARCA.... Messi kawabwaga Ronaldo na xavi
 
guardiola kocha bora
timu bora barca kazi wanayo..
 
ronaldo anasoma nani mshindi..

Ni Ballon si Bellon.

Afu huyo Ronaldo gani aliesoma? Maana CR anajiandaa na game dhidi ya Malaga. Hivyo hakuhudhuria.

Labda kama unamaanisha El Phenomena.
 
Nessi kabebwa tena.
Puskas award imeenda kwa nani?
 
tatizo anaongea kiajentina..

haa haa haa umeona kamanda ...hawajasoma ni vilaza kwa kuwa hawajui kingereza kama wakenya na waganda ama watoto wa engilishi midiamu skuli aka academic (st.).....haaa haaa haaa
 
Back
Top Bottom