Bellon D'Or nani kushinda?

Miaka ya nyuma Jenerali Ulimwengu(alipopewa uenyekiti wa BMT) alipata kusema FIFA ni genge la wahuni. 2010 Sneijder alitakiwa apate. G Milito hakuingia hata kwenye fifPRO XI. Nafikiri hii tuzo sasa imekuwa biashara, maana jana kuna jamaa mmoja naye alipanda muda De Lima anatoa tuzo ambaye ni mwakilishi wa kampuni fulani, lakini si mtu wa soka, sijui kwanini alipanda. Hapa naona kuna mambo ya Nike Addidas yanaendelezwa.
 
nilisha acha kufuatilia huo uharo kitambo mno...
Tangu walipomnyima Sneijder na kumpa huyo Nessi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…