Ila mimi ugomvi wangu uko kwa hawa watu weupe.... wanajua kabisa viongozi wa kiafrika wanaiba hizo hela wanazotupa na bado wanaendelea kutupa na kuongeza madeni tu!!!!! Rejea report ya UNDP kuhusu mendeleo duniani 'Human Development Report 2010' :frog: