johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sitaarajii kusikia wakati huu kuwa kilicho kabidhiwa ni kipeperushi au kikaratasi kama maneno ya enzi Ileee,bila shaka Sasa itasomeka ni taarifa rasmi na barua ya kiofisi kati ya ofisi mbili tofauti na yenye vigezo vyote ya kiofisi🤔Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV
Acha chuki,wivu na roho ya choyo hata Kwa wenye kushahili walichopangiwa na Maanani🤔Huyu naye ana "mtu" wake amemuwekea booking viti maalum
Hivi ndo umerudi Tz leo?Hii nguvu wanayotumia kadema dhidi ya covid 19 wangeitumia kulinda kura zao kwenye chaguzi wangekuwa na 70% ya wabunge na wawakilishi!
Bila shaka ametunza dispatch bookNaibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV
Humaanishi eti eeh! Kwa yule nyamaume nani angelinda au kusogelea kituo Cha kupigia kura? Au ulikuwa hujakua miaka hiyo? Basi mwombe bibi Yako akusimulie hadithi ya mtu yule huenda ukawaonea huruma cdm.Hii nguvu wanayotumia kadema dhidi ya covid 19 wangeitumia kulinda kura zao kwenye chaguzi wangekuwa na 70% ya wabunge na wawakilishi!
Shida sio kulinda kura ndg..Shida ni anayetangaza Matokeo.Hii nguvu wanayotumia kadema dhidi ya covid 19 wangeitumia kulinda kura zao kwenye chaguzi wangekuwa na 70% ya wabunge na wawakilishi!
Leo wametinga mjengoni...
Si mlishapeleka miaka miwili iliyopita- hii ya pili inahusu nini tena?Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV
Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV