Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingi
PICHA PAMOJA : Ben Kinyaiya na Mkewe Katika Private party yao baada ya kufunga Ndoa ❤❤
Enzi za uchumba
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…