BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.

Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
 
Imeshakua tabia tayar kwa Ben(kujipamba kama demu) tena imekomaa
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja
 
sipat picha hiyo dressing table yake, itakuwa na vipodozi vingi hiyo kuliko hata dressing table za wanawake.
 
Ni wakati wa 50/50 suwala la which ias which halipo!
 
acheni kufatilia life styl za watu........kwani kuna kifungu kwenye vitabu vya dini kinacholimiti wanaume kujiremba?
 
acheni kufatilia life styl za watu........kwani kuna kifungu kwenye vitabu vya dini kinacholimiti wanaume kujiremba?

Hahaha !!! Ngoja waje wenye dini zao
 
Weka picha

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Jamaa tayari ni hb sasa sijui anaongeza vikolombwezo vya nini........

We muache amuudhi mwenyezi Mungu siku moja ataamka asubuhi...ataenda kwenye dessing table akute amegeuka pacha wa Mpoki.
 
Jamaa tayari ni hb sasa sijui anaongeza vikolombwezo vya nini........

We muache amuudhi mwenyezi Mungu siku moja ataamka asubuhi...ataenda kwenye dessing table akute amegeuka pacha wa Mpoki.

Sasa sijui ataagiza kontena la vipodozi awe anajiloweka....maana hivyo anavyotumia kwa sasa havitamtosha tena.
 
Nae aachee yaan amekaribia kufanyiwaa surgery awe mwanamke kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…