huyu ni mtoto wa mzee apson mwang'onda, aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Ni kijana mdogo kiumri lakini ana pesa nyingi za kutisha na chanzo cha yeye kuwa na pesa hakieleweki.
Ni very famous jijini dar na tanzania, anaogopwa na kuheshimiwa kwa madili ya biashara. Ana miliki makampuni mengi moja wapo ni ile kampuni iliyofunga cctv pale ikulu na ikulu ya zanzibar kwa mapesa mengi sana.
Ni moja kati ya wabunge vilaza wa kuteuliwa na jk kwani toka ameingia bungeni 2005 sijasikia mchango wake hata siku moja.
Kuhusu elimu yake sina uhakika vizuri nipe muda nitakupa data.