Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Lile sakata kati Jide VS Clouds limefikia sehemu mbaya. Picha lilianza hivi, siku mbili zilizopita Mwaanadada Jide aliwteet kupitia akiwalaumu Clouds Fm kwa kumuhujumu kimuziki ( kutoufanyia promo wimbo wake mpya wa JotoHasira ). Picha halikuishia hapo, leo tena, Jide akaretweet akiwashambulia Clouds, THT na wasanii Ben Paul na Linah wanao lelewa na THT.

Jide aliwatuhumu Ben Paul na Linah kwa kutotokea kwenye show ambayo inadawa ama ilidhaniwa kuandaliwa na Jide, ambayo ilifanyika siku ya Valentines Day mapema mwaka huu. Jide amedai Ben Paul na Linah waligoma kutokea kwenye show hiyo kwa sababu walikatazwa na Uongozi wa THT.

( Ruge ? ..U Decide!) . Responding to these allegations Msanii Ben Paul ali retweet akimjibu Jide ambapo pamoja na mambo mengine, alisema " Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. Nimekua vya kutosha #Trustme "

Picha kamili linapatikana hapa:CloudsFM saga: Jaydee awashukia Ben Pol na Linah, Ben Pol ajibu « Maraha

MAONI YANGU : BEN PAUL HAKUPASWA KUTUMIA LUGHA KALI KAMA HIYO.
 
Kuna mwisho unakuja na siyo mzuri, mmoja kati ya Clouds na Jide lazima atasahaulika au kupotezewa au kufutika kwa umaarufu au umaarufu wake kuzimwa kabisa na jamii ya Kitanzania, let's wait and see!
 
Kuna mwisho unakuja na siyo mzuri, mmoja kati ya Clouds na Jide lazima atasahaulika au kupotezewa au kufutika kwa umaarufu au umaarufu wake kuzimwa kabisa na jamii ya Kitanzania, let's wait and see!

Uwezekano wa Jide kupotea ni mkubwa zaidi ...
 
Duh, Kuna kile kipindi cha groove back, DJ Peter Moe anaweza pewa condition kuwa achague moja anakweda kupiga Muziki Nyumbani Lounge kwa Jide au apige radio, ia asifanye vyote.

Maana kubwa hapa uongozi wa clouds hautataka ku-promote tena nyumbani Lounge kupitia kpindi chao cha Groove back ambacho kimsingi ndicho kimei-promote sana Nyumbani Lounge awali!
 
Lile sakata kati Jide VS Clouds limefikia sehemu mbaya. Picha lilianza hivi, siku mbili zilizopita Mwaanadada Jide aliwteet kupitia akiwalaumu Clouds Fm kwa kumuhujumu kimuziki ( kutoufanyia promo wimbo wake mpya wa JotoHasira ). Picha halikuishia hapo, leo tena, Jide akaretweet akiwashambulia Clouds, THT na wasanii Ben Paul na Linah wanao lelewa na THT. Jide aliwatuhumu Ben Paul na Linah kwa kutotokea kwenye show ambayo inadawa ama ilidhaniwa kuandaliwa na Jide, ambayo ilifanyika siku ya Valentines Day mapema mwaka huu. Jide amedai Ben Paul na Linah waligoma kutokea kwenye show hiyo kwa sababu walikatazwa na Uongozi wa THT
( Ruge ? ..U Decide!) . Responding to these allegations Msanii Ben Paul ali retweet akimjibu Jide ambapo pamoja na mambo mengine, alisema " Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. Nimekua vya kutosha #Trustme "

Picha kamili linapatikana hapa:CloudsFM saga: Jaydee awashukia Ben Pol na Linah, Ben Pol ajibu « Maraha

MAONI YANGU : BEN PAUL HAKUPASWA KUTUMIA LUGHA KALI KAMA HIYO.

Ben Paul anakosea coz hajui pamoja na mafanikio yote aliyopata bado anaweza kuwa chini na mwisho wa su akaomba hata akakate viuno pale Machozi bank!

Hujafaa hujaumbika Ben paul!
 
Kuna mwisho unakuja na siyo mzuri, mmoja kati ya Clouds na Jide lazima atasahaulika au kupotezewa au kufutika kwa umaarufu au umaarufu wake kuzimwa kabisa na jamii ya Kitanzania, let's wait and see!
Clouds ni nani mpaka wamfute mtu kwenye mziki wake???
Clouds hawana uwezo wa kufanya hayo unayofikiria, wana roho ngumu ila roho yenyewe ni roho ndogo sana hawana uwezo wa kufanya watakalo juu ya msanii yeyote kama unavyojidanganya kwa kulitazama hili jambo kwa uwoga wako.
Shout your mouth and keep your eyes open.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kaka hata mimi natamani iwe kama unavyo fikiri, personally , am totally against what Clouds have been doin to our artists, nimeongea kutokana na experience yangu, wasanii wengi sana wamepotezwa na Clouds tena kimchezo mchezo ( Do I need to talk about it ? ),
 
Uwezekano wa Jide kupotea ni mkubwa zaidi ...

Unless aache kutoa vibao vizuri, kama una talent hata redio zote zikikataa kupiga miziki yako bado utasikika (kwahio cha maana ni kuacha marumbano yasiyo na tija na kuweka nguvu zake kwenye kazi yake)

Ila hii redio inabidi ijiangalie kama ikionekana kweli ipo bias, na inaendeshwa kwa kuangaliana sura, basi inaweza kupoteza mvuto mbele ya watu na wasanii kwa ujumla
 
Uwezekano wa Jide kupotea ni mkubwa zaidi ...

Clouds hawamuezi huyo dada,
Limbukeni wa tz walikua eti wanaamini bila clouds mwanamziki hawezi kupeta.
Nowdays clouds tv na clouds radio ni stations za kienyeji sana hasa ukifananisha na wasanii wetu wanavyosambaza mziki wao wa tanzania kwenye media za kimataifa zaid.
Clouds tv and radio ni kuku wadogo sana kwa msanii yeyote mwenye akili timamu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sijaona matusi bado hapo

"Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. " . Kaka kwako hili sio tusi?. Fungua machom huwezi kuona kitu chochote kama umefumba macho.
 
Daudi Mchambuzi, soma tena nielewe, uikirudia kusoma utaelewa tu, sijawaza hivyo unavyofikiria, ukisoma tena utaelewa kwanini Clouds tv imeomba tena kurudi Startimes baada kina Hando kuitukana sana, wameona kwamba wanapotea, cause no one have been interested with their station and umaarufu wa hiyo tv haupo tena. Walienda kwa zuku ambayo haijasambaa country wide. Ukisoma tena ndugu Daudi Mchambuzi utanielewa.
 
Last edited by a moderator:
Clouds hamumuwezi jide. She is a strong woman na anajiamini kumbuka alitoka mbalI..kuajiriwa mp kujiajiri
.ana akilI sana za maisha...ukizingatia pia ni mwanamziki mzuriii...hao kina lina..rachel wataendelea tu kulaliwa hawatofika kokote masista duu na mashoga wenu clouds
 
Dah kweli JOTO HASIRA ni shida Bonge la Donge wanashindwa meza WAFU FM,sipati picha apa Sugu apa Jide Kwa apa Prof Jay nikikuona Sikimbii,apa Kurwa apa Doto kwa apa Dany msimamonikikuona Sikimbii,VINEGA FOR LIFE BABE
 
Huu wimbo Zembwera Beberu anaupiga sana.
 
Ndugu TIQO asante sana, wewe umenielewa na Daudi Mchambuzi atanielewa tu napenda kuandika mengi, lakini let's wait and see.
 
ni muda sana cjackiliza hawa mawingu!nn kisa hasa bandugu cha hawa maswahiba kuvurugana maana ninavyofaham walikua maswahiba wazur tu hawa watu!
 
Mhm! Cdhani kama jide Ni njaa! njaa! Kama hao wengine! Na kutompa promo jide cioni kama wanamuathiri sana!! Clouds yenyewe inabamba kwa hapo dar Asilimia kubwa! Bado tena matendo ya wafanyakazi wa hapo!yanawachefua watu hadi huku vijijini!! Ingekuwa kawatibua IPP MEDIA&SAHARA Communication! Hapo ndo Jide tungetabiri anguko lake!
 
Jide ana mchango mkubwa sana clouds pia kwani kipindi kile clouds inaanza wanapita katika baa maarufu na buzuki lao msanii wao maarufu alikuwa ni jidea,unajua hawa watoto kama wakina ben pol ni takataka kwa mtu kama jide ambaye ana wigo mpana kiusanii...halaf tukumbuke kuwa clouds hawapendi mtu ajiendeshe mwenyewe,wanataka wakuendeshe hadi maiasha binafsi..yupo wapi mwinyi alimtukana sana jide akarudi na kuomba msamaha!!hapa kuna kitu clouds hawana watu wabunifu vipindi vyao vingi wanakopi na kupaste kwa watu mi nadhani ni chuki mdada kageukia mlango mwengine..mwisho ni kuwa clouds ukienda na proposal yako wanaiiba wao wewe wanakuchinjia baharini...ni wezi
 
Back
Top Bottom