Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Sugu alikwisha potezwa kitambo. I dont think kama still kuna wana watu bado wanasikiliza nyimbo za Sugu. Ashukuru tu Mungu amepata Ubunge, vinginevyo ingekuwa ni OSH KOSH B'GOSH!


Pole sana.
unatumia kichwa kubebea masikio...
Think big
 
Sugu alikwisha potezwa kitambo. I dont think kama still kuna wana watu bado wanasikiliza nyimbo za Sugu. Ashukuru tu Mungu amepata Ubunge, vinginevyo ingekuwa ni OSH KOSH B'GOSH!

unapost kutoka wapi?
 
Tatizo ni kuhusisha mapenzi na biashara mkimwagana huko biashara zinakufa
 
Pole sana.
unatumia kichwa kubebea masikio...
Think big

Acha ushabiki wewe, mimi nazungumzia reality..Do a litle research brother na utakubaliana na mimi. Watafute vijana kumi wa kuanzia miaka 15 hadi 25 ( ambao ndio wasikilizaji wengi wa muziki wa bongo fleva/hiphop? ) waulize wakutajie nyimbo tatu za Sugu. I bet, ten of them will fail...Sugu hana audience , thats the fact brother ( My opinion has nothing to do with his " Chademaship", so simzungumzii Sugu kama mbunge wa Mbeya kwa tiketi ya Chadema kama unavyo dhani wewe, but namzungumzia Sugu kama msanii wa hiphop.
 
tatizo la wasanii wabongo wanaamini kuwa bila wafu fm hawasikiki. mbaya zaidi jay, fa, fid q nao wamekaa kimya. wanashindwa hata ku retweet tweeet za jd angalau kufikisha ujumbe zaidi. vinega rudini bas
 
Ben pol aache kujiingiza katika hili beef!!!inabidi aelewe ruge alikuwa akijipigia jide wayback kabla gadna hajanuoa baadaye ruge akawa anajipigia linnah ambaye ndo demu anapewa air time ya kutosha ili azibe umalkia wa jidde!gadna pia kipindi yupo na jide na kipindi ruge anamla linnah naye akajipigia linnah....ukiangalia kwa undani hili beef ni mapenzi so dogo kama ben paul anayetegemea mziki kulipa ada ya chuo ni vyema akapoteza kwani inabidi aelewe!game kalikuta na ataliacha!
 
vipi hemed anamsapot nani?
 

mkuu likud,reality unayoizungumzia wewe sio kweli,unaposema tuchukue vijana kuanzia miaka 15-25 wanaosikiza mziki.sugu ninayemjua mimi alianza mziki wa hip hop muda mrefu kiasi kwamba hata kijana wa miaka 15 hawezi kufahamu hata chembe ya harakati za sugu.Soma kitabu cha historia ya maisha yake kinachoitwa 'from the street to the parliament' ndio uone harakati zake za muziki na maisha.Sugu ataendelea kuwa legendary na pioneer wa HIP HOP tanzania.
 

We dont need to talk about it kaka...Sugu hana audience hapa bongo, labda jimboni kwake
 
We dont need to talk about it kaka...Sugu hana audience hapa bongo, labda jimboni kwake

kwa hiyo unataka kusema huyu jamaa akiandaa show ya peke yake hapa daslam mjini ataimbia viti vitupu?......masaburi
 
 
We dont need to talk about it kaka...Sugu hana audience hapa bongo, labda jimboni kwake
zungumza v2 vyenye maana, kusema sugu hana audience utachekwa sana, muulze ruge ndo anamjua cku ile yeye kijitnyama na fiesta yake sugu na vinega social science
 
 
Sugu alikwisha potezwa kitambo. I dont think kama still kuna wana watu bado wanasikiliza nyimbo za Sugu. Ashukuru tu Mungu amepata Ubunge, vinginevyo ingekuwa ni OSH KOSH B'GOSH!

we mtoto wa sijui umetokea pori gani!!utachekwa.....Sugu unajua amefanya biashara ya muziki kwa muda gani akiwa na ugomvi tayari na awa jamaa...tena akifanya kwa mafanikio.

eti u don think kama kuna watu bado wanasikiliza nyimbo za Sugu!!we utakuwa mtu wa kusikiliza ma FM msiojua muziki mpaka mchaguliwe cha kusikiliza na maDj wa redio ndio maana unatia aibu mbele ya ma-great thinkers. watu wanamsikiliza Marijani,Mbaraka,Kalikawe,Carola,Hashim, na hawana habari kabisa.
 
We dont need to talk about it kaka...Sugu hana audience hapa bongo, labda jimboni kwake

ndio maana nasema we boya....unafikiri kuchezwa sana redioni ndio kupendwa,kawaulize kina temba na chege walichofanywa na juma nature juzi dar live pamoja na kwamba wanamfunika kwa airtime.


alafu utuambie hii audience hapa Bongo aliipataje wakati alishapotezwa kitambo.....au labda aliwafunga kamba waende kumuona wakati haumsikii kwenye redio zenu za fm



[h=2][/h]




Sugu kazini




Mmoja wa Mashabiki wa Mbunge wa Mbeya Mjini- Chadema Joseph Mbilinyi ‘Sugu akionyesha Kopi ya kitabu maalum cha maisha ya










 
Wasanii wa bongo bwana . Na ndio maana suala la hati miliki linawasumbua wanaendelea kunyonywa kwa sbb ya ufinyu wa fikra zao wenyew!!! Matatizo mengi wanatakiwa kuyamaliza kabla hata huko kwenye hati miliki,, lkn wanafungwa midomo na walaji wachache ,Jide kawaamsha lkn bado kuna wakongwe wapo kimya ,uoga wa kupotea kwenye fm,, fungukeni Juma nature hana air time huko kwenye. Fm lkn akipanda jukwaani watu wanampa shangwe za kutosha, na mjue pia kila ujinga una mwisho!!!
 
Cloudz n Redio wenye kuangusha vpaji vya wasaniii walaa si JiDe Tu aliye lalamika mba hataa AV *Anti Virus* Sugu kama Kaptain walishasemaa Cloudz Mwishoo wake unaonekanaaa Wamezidiii
 
Kuna siku nilikuwa na wazazi kwenye gari mchana wanapiga story mimi naskiliza xxl mchana ila mchomvu na fetty wanabishana katikati ya mazungumzo mchomvu akamuambia fetty kwa utani panua paja gogo laja nilijutu kufungulia redio maana ilikuwa aibu kwa maza na mshua mpka sasa hivi nikipanda gari na watu wazima nahakikisha redio ipo redio one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…