Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
hiyo hiyo vip ni elfu 50 kawaida elfu kumi swala ni kujaribu tu kufanya hivi kwani hizi ndio development tunaziozitakashow ipi iyo ya buku50 au ya ambassada lounge??navofahamu mimi iyo show ni elfu10..ata ivo kuvunja rekodi ya domo hasaau 1.huwezi fananisha ukumbi wa mlimani city na sebule ya ambassad lounge 2.benpaul ana audience ndogo sana 3.hana unyama wa kujaza watu kapoa sana 4 ata meneja wake(ruge) kajitahidi sana kumtengeneza afikie level zile lakini tangu atoke kwa mlab kwa kina patrick hakuna jipya alilofanya ni yule yule.
hiyo hiyo vip ni elfu 50 kawaida elfu kumi swala ni kujaribu tu kufanya hivi kwani hizi ndio development tunaziozitaka
almasi ni next level klwani anajitambua huyu mtoto anatumia vema pontential yake kwa mfano mtu kama juma nature abgetumia akili na umaarufu wake wa kipindi kile angekua mabli sana kimaendeleo sema ndio hivyo mwenye mali hansa akili diamond anajijua yeye ni nani na ajitumia vp kujinufaisha aliweza kufanya shoo ya laki na nusu na ukumbi ukajaa sijui tamasha lake la diamond are forever itakuaje this yearMbona nilionaga umu umu yale mapromo sijui yakweli kuwa almasi alishafanyaga show ya laki na nusu arusha au nimechanganya mtandao. Mmh.
Na uyo ben poul mkali akaze buti mbona almasi naye kimbola kina anza kuchuja.