brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Akiongea katika kituo cha EATV kupitia kipindi cha Planet Bongo msanii bongo flava Ben Paul amesema ni kweli amecopy wimbo ya The Script Ft Will.i.am ''hall of Fame na kupelekea kutunga wimbo wa jikubali.
Ben Paul'' wimbo wa hall of fame naupenda sana na ukani''inspire'' kutunga jikubali na niliutunga tangu mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nasubiri muda muafaka wa kuutoa pia nilijua watu watasema kuhusu kucopy na nilijiandaa kwa hilo.
Baada ya matokeo ya form 4 kutoka na kuona vijana wengi wamefeli na wamekata tamaa nikaona ni muda muafaka wa kuutoa ili kuwa'inspire'' kwamba muda bado upo wa kufanikiwa na huu ndo wimbo uliofanikiwa kuliko nyimba zangu zote kwasababu watu wanausikiliza sana, wanaudownload sana, napata likes nyingi kwenye mitandao na kujua kwamba ujumbe umefika pia gharama zote za kutengezeza video ni Tsh. Mili. 5.5'' aliongeza Ben Paul.