Ben Paul: Japo nimecopy Jikubali ndo nyimbo iliofanikiwa kuliko nyimbo zangu zote

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Akiongea katika kituo cha EATV kupitia kipindi cha Planet Bongo msanii bongo flava Ben Paul amesema ni kweli amecopy wimbo ya The Script Ft Will.i.am ''hall of Fame na kupelekea kutunga wimbo wa jikubali.

Ben Paul'' wimbo wa hall of fame naupenda sana na ukani''inspire'' kutunga jikubali na niliutunga tangu mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nasubiri muda muafaka wa kuutoa pia nilijua watu watasema kuhusu kucopy na nilijiandaa kwa hilo.

Baada ya matokeo ya form 4 kutoka na kuona vijana wengi wamefeli na wamekata tamaa nikaona ni muda muafaka wa kuutoa ili kuwa'inspire'' kwamba muda bado upo wa kufanikiwa na huu ndo wimbo uliofanikiwa kuliko nyimba zangu zote kwasababu watu wanausikiliza sana, wanaudownload sana, napata likes nyingi kwenye mitandao na kujua kwamba ujumbe umefika pia gharama zote za kutengezeza video ni Tsh. Mili. 5.5'' aliongeza Ben Paul.
 
ni sawa na kusema japo niliiba mtihani lakin najivunia nilifaulu na nimepata like nyingi toka kwa watu wengi,na katika mitihan yangu yote huu ndio niliofaulu sana

mkuu muhimu kufanikiwa, other things remain constant
 
dah.!kweli akili tumebarikiwa wachache..

hajui kwamba anavoongea hivo n sawa na kujishushia hadhi kwan anamaanisha "YEYE HAWEZI KUTUNGA WIMBO UKAPATA LIKES NYINGI ILA MPAKA A-COPY"..
 
Ni bora ukae kimya tu aisee,jnsi unavyozidi kuuongelea wizi huo ndo jinsi unavyojishushia hadhi.Wengine sio kwamba tuliudownload kwa sababu tunaupenda,mimi kama mimi ilinibidi niudownload nifananishe na huo wa nje ili nithibitishe kama uliiba kweli au lah,......:smile-big:
 


Amini amini nakwambia...
Huyo ushuzi akikaa kimya basi sanamu la Bismin litapaza sauti.
 
Inawezekana akawa hawezi kutunga Ila binafsi ndio msani wa bongo nae ukubali sana uimbaji wake nyimbo zake hazichooshi kusikiliza.
 
Kunatofaut ya kusikiliza NA kuenjoy by the way nilikua nasikiliza taarifa Za habari
 
Anazidi kuongea pumba badala ya kusema ame translate anasema ametunga
 
Kweli hata ujinga ni kipaji.

Sasa kuna sababu gani ya kuitwa msanii kama kazi ni rahisi tu ya kutafsiri wimbo wowote unaokuvutia.
 
kazi kwelikweli! ninyi mnaombeza Ben PAL zenu ziko wapi?Afterall Ben Pal is Tz No 1! Mimi nimeusikiliza sana huo wimbo wenu sijui hall of fame sijui nini hajakopi wooote kwanza hata jina la wimbo ni tofauti! ivi ku....an. kuku ak... BATA KAHARISHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…