Lolest!Ngoja kuna wasanii watasema,"kuna baadhi ya wasanii wananunua shoo."
Kwahiyo unakubali hali ya uchumi ni mbaya na Hilo li avatar lako la mla rambirambi?Waanze kufanya show za international kama Diamond Platnumz.
Tatizo wasanii wa bongo hawaigi mazuri ya diamond, wanachofanya ni kumdiss tu kila siku.
Na bado, huu in mwanzo tu. Upesi wakome kutumika kishabiki......Tumejipanga mwaka huu wataisoma...
Nawanaisoma kweli
muongezee na christian bellaMbona Jide komando anazunguka tu Tz na show zake na anapiga mijihela ? Hao mapromota wanaomuandalia show Jide ni wa wapi ?
Lakini ki ukweli naona ukimwondoa Diamond , mwanamziki anayeweza kwenda kufanya show peke yake sehem yoyote Tz na akajaza watu ni Jide ....nipo tayari kukosolewa