Sometimes you don't need to prove who are you to anyone!
Mambo kama haya yalishawahi kutokea ktk maisha yetu tunayopita!
Huhitaji watu wajue wewe ni Bora kuliko mwingine!
Unachotakiwa kukifanya ni Kuendelea na plan zako, kwa sababu hata ukiwashirikisha plan zako watakwambia huwezi au watakuzunguka! Unaweza ukawa unadhani una marafiki kumbe ni wanafiki watupu.
Hivyo Basi Alikiba is best in his own,
Ben Pol is best in his own,
Hata ukiwashindanisha hawa watu hamna atakayekushabikia au kuunga mkono, kwa sababu kila mmoja anajua Alikiba ni nani, na Ben Pol ni nani!
Swala la EATV AWARDS halina tatizo
Na ikitokea Sheta akawa Mwanamziki Bora wa Kiume ni Sawa!
Lakini in the end, Ukweli unabakia palepale!