Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Alifanya hv makusud akjua kuna wapumbavu wenzake watamsapoti, kama angetaka kuona inavokuw mtu aktekwa angeomba atekwe aone kama watampaka na wese, na mamaake anaona kijana wake kayaanika matako nje cjui nae ampongeze, Tugombane na akina Linah pia na huyu kidume mwenzetu, Yaan kchwa kaweka na pozi kbs hahaha,
 
" Et nchi za wenzetu ni kawaida, mbona mambo ya kawaida mengi ya nchi za wenzetu mnayakataa? Si nyinyi mlikaa kuingia mkataba wa vidume kuoana? Si nyinyi mnakataa madada kusagana? Mbona kwa wenzetu kawaida tu hayo! Acha uvuvi wa kufikili! Ben Paul kuonesha mkundu vile si Jambo jema" leo anatoa nyimbo inayohusiana na kutekwa mkundu wazi: siku akitoa nyimbo inayohusiana na ubakaji itakuaje? Au ndo mahaba Niue. Hata kama unampenda mtu akikose mkosoa bwana.
 
halafu hata haihusiani na madai yke ya kwamba anatoa wimbo unaohusu kutekwa alikuwa anajaribu kujtetea tu
Naona alikuwa anatafta kiki, kiukweli namkubali lakini kwa alichokifanya kachemsha, haya bado nyimbo yenyewe mbovu, sijui hata alikuwa anaangaika nini wakati nyimbo yake ya phone bado ilikuwa inafanya vizuri.
 
Ni nani alimpaka mafuta, wa kike au kiume? Malinda yapo?
 
Kwahiyo kutekwa ndo anawageuzia mashabiki wake makalio hapa no bongo kuna mila zake unataka uishi bongo kama state ndo unaishiwa paka mafuta watu wale mfuko
 
Mpuuzi tu.
 
shida kweli kweli
 
hiv watekaji wa siku hizi huwa wanamalengo ya kuwavua wa2 nguo na kuwapiga picha ? kwa hili suala dogo ben pol naona kachemka sana ata akilitetea kwa namna gan anyway cjui lakn lakn inaweza ikawa sawa kwa akili zake
 
Bado siwezi kukubaliana na swala la kuonyesha maketio hadhalani kisa Sanaa. Tena mwanaume duuh
 
Hivi kweli hakukuwa nanamna nyingine ya kuwasilisha ujumbe"bali ni kuvua nguotu??
 
UPUUZI WA BEN POOOLI NDO MAANA HAWAFANIKIWI MBONA DIAMOND HAJATUONYESHA MWILI WAKE NA TUNSMKUBALI????? UFREEEMASSSSS NDO UNAMSUMBUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…