Nakuona Mr. Director unavyotoa puvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana unajua kabisa biashara yko itakufaulitaka apige akiwa kavaa kanzu wakati scene haihitaji kanzu? Kabla hujahukumu kitu tafuta kwanza maudhui ya hiyo kitu, ufanye upembuzi ndio utoe hukumu. kwa kifupi mnaolaumu na kulalama mlikurupuka tu
Hahahaaaaaa. Mjini shule nduguNakuona Mr. Director unavyotoa puvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana unajua kabisa biashara yko itakufa
sana utekaji gani umetakata vile halafu upo uchiAtapata wateja muda si mrefu tena wengi sana maana siku hizi watumiaji wengi sana
Yaani nimuonee wivu mwanaume aliepiga picha makalio yakiwa wazi?!Ungekuwa hufatilii usingeona wala usingejishughulisha na mada hii. Acha wivu
Kweli Mkuu. Zaidi leo nimemsikia ben pol mwenyewe kwenye interview moja amesema kwenye hicho chumba walikuwepo watu takribani sita, mmoja wapo mwanamke. Kasema wala hakuwa uchi wa mnyama kama watu wanavyodhani, bali kuna nguo alivaa na hiyo picha iliyosambaa imefanyiwa editing. Hata mimi niliyasema haya kabale lakini wabongo walikomaa utazani wameona uchi wa ben pol.Utamaduni wa mwafrika kabla ya Ujio wa waarabu toka uajemi na wamishionari toka bara la ulaya...ulikuwa kuvaa 'kibwebwe' tu kuiziba sehemu ya 'kitendea kazi', mavazi yalikuja na merikebu...
Nani alimpaka mafuta? kuna kitu kinaitwa phote editing. picha ya kawaida tu iliyopauka inaweza kung'arishwa ukaipenda.Kutekwa ndo wanapakwa mafuta????
Bs iyo editing iliyomngalisha jamaa aijalenga maudhui ya kutekwaNani alimpaka mafuta? kuna kitu kinaitwa phote editing. picha ya kawaida tu iliyopauka inaweza kung'arishwa ukaipenda.
Kuwa uchi tu na kuwa! Mana at a aijafungwa kamaba yake aitoshi kuonyesha katekwaBs iyo editing iliyomngalisha jamaa aijalenga maudhui ya kutekwa
Ni kazi ya sanaaBs iyo editing iliyomngalisha jamaa aijalenga maudhui ya kutekwa
Kwa hiyo msanii akitaka kurelease wimbo unaohusiana na kutekwa inabidi apige picha tako nje?
Nchi za wenzetu nchi za wenzetu kwani lazima tufanye kama wao mbona wenzetu wahindi wanajitahidi kufanya yao na wametusua mpaka hollywood wanawaelewa.
Ukimuuliza atakwambia sijui mbona flani wa narekani alifanya hivi... Sisi siyo wamarekani.
Haya bana wa marekani mshasema mimi ntasema jeWe ushaona ma tako mangapi yakipita nje nje ambayo si wasanii ? Whats the difference?