Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
utaelewa tuBado hujaeleweka kijana hit the target. Ben pol anataka kueleza nn hicho ndicho kinachotufanya tujiulize maswali. Kuvua nguo na kujipaka mafuta what does he intended. Logic ni nn hapo. Hatumuelewi anataka tupate meseji gani?
kwaki shida ninini kwani hata ungempaka ww au mm shida iko wapi?Mkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?
kwani kupakwa shida iko wapAu fally ipupa kampaka maana nchi yao kule ushoga ruksa kabisa
Anataka kutwambia wanaotekwa huwa wanamwagiwa wese. Labda kasimuliwa na Roma.Mtu unatekwa afu ungaa hivo
Na wasiwasi na uanaume wako..kama unamsapoti huyo jamaaasasa ukishajua atakusaidia nn?
wabongo bado sn
sana tyuuNa wasiwasi na uanaume wako..kama unamsapoti huyo jamaaa
sasa akina sisi ndio tumeelewa kuwa kuacha sehemu ya makalio iliyo wazi ni ishara ya ushoga.akina nyie
Sana tyuu ndio nini?au unataka kupakwa mafuta kama ben posana tyuu
Harmorapa kawaharibu sana wasaniiYani sasa hivi wasanii wamehama kwenye kuamini katika kutoa mziki mzuri wameamia kwenye kuamini kuwa kik ndo zinasukuma mziki.
Nashangaa kuona mwanaume anaunga mkono ujinga huu.
njoo nipakeSana tyuu ndio nini?au unataka kupakwa mafuta kama ben po