Ben Pol: Wanaozani ni kiki wasubirie ndoa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598



Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.

Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi na tanoya Msanii Mkongwe Saida Kalori, Escape one Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: Muungwana Blog
 
Papunchi, haitakaa imuache mwanaume salama hasa ikizungushwa na mto ngono!!

Kweli, wasanii ni wasanii kwa maneno na matendo yao!.
 
Wape wape

Mahusiano ni yako wewe

Wanakuonea wivu tu
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] kazi ipo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…