Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma ikawa nongwa...
Unao uhakika au wabaya wa Magufuli ndio walitaka ionekane hivyo?
Na wabaya hawa wanataka ionekane hivi kwa Samia.
lakini wabaya hawa hawa waliwahi kudai Benjamin Mkapa walisema alimmaliza Hayati J.k.Nyerere