Ben Saanane, Azory, Roma... ni wanachama wa clubs gani za mpira wa miguu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Clubs zao tuwafanyie kisomo maalum ili Mwenyezi Mungu awaepushe na mabaya huko waliko na warejee salama, insha'Allah.
 
Unadhani kuna mahusiano yoyote wa yanayo tokea na u club ?
 
Tuiachie polisi ifanye kazi zake Kwa Uhuru, kama maombi yangekuwa yanasaidia tungefanya hivyo hata na Kwa wengine wote waliopotea akina Roma na wenzake
 
  • Thanks
Reactions: sab
Tuiachie polisi ifanye kazi zake Kwa Uhuru, kama maombi yangekuwa yanasaidia tungefanya hivyo hata na Kwa wengine wote waliopotea akina Roma na wenzake
Sawa aisee jamaaa
 
Back
Top Bottom