Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Una uhakika hayupo hapa nchini?Wadau Member wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenyw mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
Mostly yuko Dubai na SA!Una uhakika hayupo hapa nchini?
yuko Mtama anafunga korosho zake.....Mazishi ni kesho kutwa tarehe 6 Dec huko Houston TexasWadau Member wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenyw mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
Muulize Dr Bashiru ndo anajua Nini alichofuata mwanachama wake huko aliko...Wadau Member wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenyw mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
Ukikaa kimya watu wanakuwa hawakuelewi elewiNguvu ya kukaa kimya
Ahaa.yuko Mtama anafunga korosho zake.....Mazishi ni kesho kutwa tarehe 6 Dec huko Houston Texas
Huyo mleta hoja si Lumumba team ?!Naona tunaanza kuzungusha mikono kama 2015, ulipo tupo...!!!
Una uhakika hayupo hapa nchini?
Wameshahama kwa lissu na NyalanduNaona tunaanza kuzungusha mikono kama 2015, ulipo tupo...!!!
Kwa kweli taifa lina hasara kubwa sana hili.Wameshahama kwa lissu na Nyalandu