Benard Morison ameisha pata Uraia wa Tanzania? Wabongo tupunguze kushobokea mno foreigners

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani.

Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule keao wanaweza mshobokea zaidi ya Tanzania, na sujui ndio kapewa na uraia mimi sijui.

All in all Watanzania wanashobokea mno wageni huu ushamba haujatuisha kabisa, m hakuna nchi foreigners wana enjoy kukaa kama Tanzania na hii ni kwa sababu ya kushobokewa sana.

Niliwahi fanya kazi na Wageni fulanu kutoka Marekani na wengine wa west Africa, ilikuwa ni project ya nchi kama 6 Tanzania, Uganda, Malawi, Rwanda, Ghana na Zambia. Wale jamaa walichagua Tanzania ndio watakaa na niliwahi dodosa nmoja akaniambia huku Tanzania tunatukuzwa sana, huko kwingine hakuna mwenye time na sisi kabisa kila mtu yuko busy na mambo yake.

Hii ya kushobokea wageni haiko tu kwenye mpira bali hata huko kwingine ingawa kwenye mpira ndio imezidi sana.
 
Morisson ameoa hapa bongo so naona ameamua maisha yake aishi bongo.
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom