Benard Morrison Acha Kabisa...

Huyo itabidi tupate pesa kumbakiza...

Tuka aondoke msuva tulikosa mtu wakutokea pembeni kuanzisha mashambulizi, ngasa kafeli,kaseke alifeli,ps kajaribu kafeli lakini morisson anaonekana ndio mtu sahihi wakutokea pembeni kama ilivyo falsafa ya club ya yanga kwa miaka mingi.
Hakika huyu jamaa anajua,ana drible,anapiga pasi zenye macho,anaweza kupunguza watu,akizidiwa anaweza kutafuta faulo au kona,ana kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko vizuri saaana naona kapita As vita..ambako huyu kocha mzungu ndipo alipomuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…