redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Uzarendo ni pamoja na kukubali kushindwa katika michezo na kuwapa nafasi watanzania wengine wajaribu kutengeneza timu iliyo bora zaidi ya Serengeti boys.
Kwa michezo yote mitatu iliyochezwa hakuna namna benchi lote la ufundi kuendelea kufundisha timu iyo.Itakua ni matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za Nchi kwa benchi la ufundi kuendelea kuwepo.
Mkumbuke Tff moja ya vyanzo vyake vya fedha ni wananchi mmojammoja pamoja na viingilio kwenye mechi mbalimbali za ligi, viwanja vya serikali ambavyo kwa ujumla ni vinatokana na kodi za Watanzania au Nguvu walizotumia kujengwa kwa viwanja ivyo.