Benchi la ufundi Ihefu FC, msitufanye mashabiki hatuna akili tunajua kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

Horoya kala 7, prison Tz kala 7, Mtibwa kala 5, Ruvu shooting CALA 5, Geita gold kala 5, Singida united kala 4 na Tanzania polis kala 5. Bado unawasiwasi na ssc. Fungus akili maneno ya Manala usijifanye kipofu mpira ni mchezo wa wazi.
 
Kwa kuwa; Yanga na Azam zilifungwa na Ihefu, Simba nayo ilitakiwa kufungwa Jana.
Tunasafari ndefu mkuu, mambo hayako hivyo
Mfano liverkuku alimfunga man u, nayo liverkuku akalambwa 4 man city..
 
Game plan ya Ihefu ilikuwa ni kupumzisha wachezaji wao muhimu na kuwaumiza wachezaji wa Simba wakijua hawana muda wa kurecover kwa mechi ijayo.

Mechi ya Jumanne itakuwa ngumu kwa Simba maana Ihefu watapanga full mkoko huku kuna uwezekano baadhi ya wachezaji muhimu wa Simba watakosekana na watacheza kwa tahadhari maana mechi zingine 3 muhimu zinakuja ndani ya mwezi huu.

Pengo kubwa litakuwa kwa Inonga na Mwenda/Kapombe. Kama Outtara atakuwa amepona itasaidia ila wachezaji muhimu wacheze kwa tahadhari sana maana hata Mzamiru aliumizwa pia game ya jana. Mipango ya kuumiza wachezaji wa Simba ili kuidhoofisha bado ipo.
 
Mkuu hata Mimi nimeshangazwa sana hapo Kuna namna katika benchi la ufundi.
 
Mtibwa bahasha, prison mchongo ihefu mchongo pia Sasa njooni muifunge wydad
 
Mipango hiyo uliisuka wewe mbona inonga alipomchezea lafu mbaya sureboy, huo mpango aliupanga Nan???

Acheni kujificha kwenye kivuli kisichokua na mantiki
 
Ihefu dugu moya na Mikia FC Pusha FC.
 
Mipango hiyo uliisuka wewe mbona inonga alipomchezea lafu mbaya sureboy, huo mpango aliupanga Nan???

Acheni kujificha kwenye kivuli kisichokua na mantiki
Nilishawahi kusema humu, nikiona dalili za Simba kushinda mechi kwa bahasha nitakuwa wa kwanza kukemea. Kuna raha yake unaposhinda kwa haki. Magoli yote yalikuwa "contested" jana na kipa na mabeki.
 
Hii nso shida ya kutumia KAMASI badala ya kusara na kufiriki, unapotoa post! Punguza ushabiki.
 
Itoshe tu kusema huna akili

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
ihefu kuna benci la ufundi?
 
Ihefu FC hayuko kwenye position nzuri sana NBC league, inawezekana kipaumbele cha benchi la ufundi ni kuhakikisha wanabaki ligu kuu kwanza.
 
Ihefu FC hayuko kwenye position nzuri sana NBC league, inawezekana kipaumbele cha benchi la ufundi ni kuhakikisha wanabaki ligu kuu kwanza.
Hakuna chochote bahasha ilitembea kiroho Safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…