Yacouba mbona alicheza? Na hao wengineo kina nani?Nilishangaa sana. Sikumuona Nicko Wadada, Yacouba Sogne na wengineo. Yaan nilishangaa sana.
Waliwekwa benchi wote, wakiipa nafasi kwanza Simba ifunge hiyo mechi ilikua kimikakatiNilishangaa sana. Sikumuona Nicko Wadada, Yacouba Sogne na wengineo. Yaan nilishangaa sana.
Yakuba kaingia kipindi Cha pili na wachezaji wengine muhimu bada Simba kufunga magoli manne kipindi Cha kwanza.Yacouba mbona alicheza? Na hao wengineo kina nani?
Kwani Mayele na Aziz Ki wameingia kipindi cha ngapi jana? Si waliingia pia kuokoa jahazi baada ya timu kuonekana haiperform? Tofauti iko wapi hapo?Yakuba kaingia kipindi Cha pili na wachezaji wengine muhimu bada Simba kufunga magoli manne kipindi Cha kwanza.
Tukiwalala hao wydad mtasema ni vibonde,kam kawaida yenuHata Casablanca wanajua , na wydad watakuja kujua [emoji41]
Uchawi wakurudi kinyume nyume.Tukiwalala hao wydad mtasema ni vibonde,kam kawaida yenu
[emoji16] umeongea point mkuu ngoja waje wakupige mawe jiandae kisaikolojiaMo alijifanya kuonya watu wanapanga matokeo kwa kubet,ikiwa Ni Kinga kwa kuwapa ihefu bahasha.hakuna kombe kwa Dunduka unajipeleka mdomoni kwa Chatu Kama mbwa mkia.hakuna kombe kwa Dunduka dadako Azam atakubeba.fanali tunakufumua
Nusu fainali ya wapi mkuuLeo nimekula buku mbili ya liutopolo,lilikuwa linabisha simba hajacheza nusu fainali.
Kile kikosi kilichomuua azam pale highland estate kwa nn hawajakiweka?! Walikua na sababu gani. Yaan mtu hata ball control hana eti anaanza. Muone kipa kwanza makosa yake. Watoto wahuni sana wale.Waliwekwa benchi wote, wakiipa nafasi kwanza Simba ifunge hiyo mechi ilikua kimikakati
Ilikua mechi yakimkakati sana ile [emoji16]Kile kikosi kilichomuua azam pale highland estate kwa nn hawajakiweka?! Walikua na sababu gani. Yaan mtu hata ball control hana eti anaanza. Muone kipa kwanza makosa yake. Watoto wahuni sana wale.
Hata hivo mm namuombea kolo afike final na sisi wananchi tufike huko ili kuwe na amsha amsha tulifumue. Kisasi cha kigoma bado hakijalipwa.