Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau wa JF,
Watanzania wote,
Wapenzi wa Soka,
Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Yanga ila kwenye Mechi ya kesho ya Watani wa Jadi naombea sana Benchi la Ufundi la Simba liwapange wachezaji wafuatao kwenye Kikosi cha kwanza yaani 1st Eleven.
John Bocco, Paschal Wawa, Shomari Kapombe & Mohamed Hussein Zimbwe Junior
Wakipangwa hawa japo Mimi ni Utopolo nitafurahi na kufarijika sana!
Ikitokea hivyo mechi itanoga na kupendeza sana!
Ni hayo tu kwa leo wadau
Ungana nami kwenye maombi !& tukutane kesho saa 11 kwa Mkapa
Praying!