Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nafikiri Yanga nayo itateteleka sana.Siku ukisikia tu mmiliki ameondolewa kwenye cheo cha uminista, na timu nayo msimu huo huo inapotelea kusikojulikana.
Taja wachezaji tegemeo, walitokea Singida big stars ni wangapi na wakina nani?Nafikiri Yanga nayo itateteleka sana.
Maana wachezaji mtapata wapi?
Israel Patric MwendaTaja wachezaji tegemeo, walitokea Singida big stars ni wangapi na wakina nani?
Sasa wachezaji tu wawili tena ambao hawana uhakika wa namba ya kudumu ndio kusema kuwa Yanga iitegemee Singida kwaajili ya wachezajiIsrael Patric Mwenda
Nickson Kibabage
Bila kumsahau kocha Zahor matelefoni
Nmeanza na hao wachache
Wasubiri deni la IPTL lilipwe na Tanesco!Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
Wanashuka daraja chapSiku ukisikia tu mmiliki ameondolewa kwenye cheo cha uminista, na timu nayo msimu huo huo inapotelea kusikojulikana.
Mimi nafikiri mdogo ake Mo (Bi Fatma ambaye pia ni mjumbe wa bodi wa hiyo timu) angewalipia.Sasa si yanga wawasaidie kulipa hilo deni
Yule yuko kwa wanawake na sio kwa wanaume huko ni kwenu nyuma mwiko.Mimi nafikiri mdogo ake Mo (Bi Fatma ambaye pia ni mjumbe wa bodi wa hiyo timu) angewalipia.