Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Mar 30, 2025 #21 Mashamba Makubwa Nalima said: "Zugeni na sisi tuna shida, watu wanauliza sana inakawaje team yetu inaendeshwa bila kelele zaidi ya vigogo wa Kariakoo" Click to expand... Hapa nimekuelewa sanaš¤£
Mashamba Makubwa Nalima said: "Zugeni na sisi tuna shida, watu wanauliza sana inakawaje team yetu inaendeshwa bila kelele zaidi ya vigogo wa Kariakoo" Click to expand... Hapa nimekuelewa sanaš¤£
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Mar 30, 2025 #22 Yote maisha ,waongee na Madilu System awalipe.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,350 Reaction score 25,870 Mar 30, 2025 #23 Nchemba vipi na hela zote walizopiga 2023/24 CAG?
Msafirishaji JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,803 Reaction score 2,884 Mar 31, 2025 #24 vibertz said: Sasa wachezaji tu wawili tena ambao hawana uhakika wa namba ya kudumu ndio kusema kuwa Yanga iitegemee Singida kwaajili ya wachezaji Click to expand... Wewe nmekupa assignment ukaangalie wengine Abuya hana namba hapo Yanga
vibertz said: Sasa wachezaji tu wawili tena ambao hawana uhakika wa namba ya kudumu ndio kusema kuwa Yanga iitegemee Singida kwaajili ya wachezaji Click to expand... Wewe nmekupa assignment ukaangalie wengine Abuya hana namba hapo Yanga