PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Hii nimeiona Tanzania peke yake tena pale Benchi la ufundi yanga kwenye mechi ya jana, mchezaji ambaye amekaa nje ya uwanja kwa zaidi ya week mbili tena akiwa kwao, anasafiri masaa machache kabla ya mechi na anapangwa kuingia uwanjani,
hana mechi fitness, hajatrain na team kwa muda wote, kisaikolojia pia hayupo sawa sawa,
Inakuwaje anapewa nafasi ya kucheza?? Kwa hili bench la ufundi linalazimika kubeba lawama.
Maana ilionekana wazi hata alivyokuwa anacheza hakuwa sawa mpaka namna alivyopiga penati.
SIASA ZA MPIRA WA TANZANIA NI SUMU KWA MAFANIKIO YA MPIRA.